Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lulu alijichanganya kidogo kwenye kutoa utetezi wake, ila swali la kujiuliza ni nani mwenye ushahidi kuwa kanumba alisukumwa? Na kama alisukumwa alianguka kutoka umbali gani hadi kufika chini sakafuni?Then nahisi ataweza kushinda rufaa akarudi mtaani.
BAADHI YA WAZAZI WA WASANII WA BONGO MOVIE NAO MAISHA YAO NI YA KISANII TU! WANAISHI KIMOVIE MOVIE TU!View attachment 631113
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Afande Sele, amesema anashangzwa na kitendo cha Mama Kanumba kushukuru kufungwa kwa Lulu wakati mtoto wake ndiye alikuwa na makosa kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo.
Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema mama Kanumba ni mama ambaye hana vigezo vya kuwa mzazi kwani hana uchungu na mtoto wa mwenzake kwenda jela akiwa mdogo, huku ambaye alistahili kuhukumiwa ni mtoto wake Kanumba.
"Mama Kanumba nimeshangaa kusikia anashukuru kwamba Lulu kafungwa, mama ambaye hana uchungu hana sifa ya kuwa mzazi, anashukuru kwamba mtoto mdogo anafungwa kwa ajili ya ubazazi wa mtoto wake, ujinga wa mwanae, upuuzi wa mwanae, mkubwa anambaka mtoto mdogo kama yule”, amesema Afande Sele.
Afande Sele ameendelea kwa kusema kwamba yeye kama mzazi mwenye mtoto wa kike anatamani hata maiti ya Kanumba ingefukuliwa ichomwe mto ili kuwa fundisho kwa wanaume wengine wenye matendo kama yake.
Chanzo: EATV
Umeongea kama mzazi wa mtoto wa kike Je afande una mtoto wa kiume??View attachment 631113

Wamuache huyu mama wa watu jamani mtoto wake ndio alikuwa tegemeo lake
Umeongea point sana pia mimi nilikua najiuliza kwanini hawakufanya autopsy mana wangejua chanzo cha mauti na kama alisukumwa au pombe au alindondoka ingejulikana wasingesumbuka na ushahid wa kujieleza ingekua nchi za wenzetu wasingetaka tabu...Lulu alijichanganya kidogo kwenye kutoa utetezi wake, ila swali la kujiuliza ni nani mwenye ushahidi kuwa kanumba alisukumwa? Na kama alisukumwa alianguka kutoka umbali gani hadi kufika chini sakafuni?
Mwili wake ulifanyiwa autopsy? Je alikuwa na kiwango gani cha kilevi wakati amefariki? Je alikuwa intoxicated? Alikuwa na majeraha yoyote? Ya ndani au nje ya mwili?
Hapo kuna utata mkubwa sana, ushahidi wa kimazingira pekee hautoshi. Ripoti kamili ya daktari inasemaje kuhusu kisababishi cha kifo chake?
Jambo la kushangaza sana, yani hakuna mwenye ripoti kamili ya kitabibu juu ya kifo chake. Tunabaki kusema tu alikuwa na lulu na kulikuwa na chupa ya pombe ndani! Seriously hiyo inatosha kumfunga mtu?Umeongea point sana pia mimi nilikua najiuliza kwanini hawakufanya autopsy mana wangejua chanzo cha mauti na kama alisukumwa au pombe au alindondoka ingejulikana wasingesumbuka na ushahid wa kujieleza ingekua nchi za wenzetu wasingetaka tabu...
mtoto hata umlee vizuri kiasi gani umfungie na ndani kama wakukengeuka atakengeuka tu,ila alilosema afande linamantiki.Mama yake Lulu nae mbona hapewi lawama kwa kushindwa kumlea mwanae kimaadili