Afande Sele: Msanii mwenye mvuto kwa jamii kisiasa

Kwa hali hii lazima atakuja kuvua nguo kwenye mkutano mizuka ikimpanda

Ninadhani itakuwa kuna kitu kingine tofauti na mzuka.

Kama sababu ya kuvua nguo ingekuwa ni mzuka, tungejaa sana kwenye shows za wasanii wa kike.
 
Huo wimbo wa sugu nimeusikiliza mara 5 kusema kweli ni aibu kubwa kwa kiongozi wa watu kufanya haya. Nimemdhalau sana. Jamani bangi mbaya sana.
 
Huo wimbo wa sugu nimeusikiliza mara 5 kusema kweli ni aibu kubwa kwa kiongozi wa watu kufanya haya. Nimemdhalau sana. Jamani bangi mbaya sana.

Usicheze na bangi mkuu,bangi mbaya sana ingawa hawakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…