Kwa hali hii lazima atakuja kuvua nguo kwenye mkutano mizuka ikimpanda
Ninadhani itakuwa kuna kitu kingine tofauti na mzuka.
Kama sababu ya kuvua nguo ingekuwa ni mzuka, tungejaa sana kwenye shows za wasanii wa kike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hali hii lazima atakuja kuvua nguo kwenye mkutano mizuka ikimpanda
Kwa hali hii lazima atakuja kuvua nguo kwenye mkutano mizuka ikimpanda
Kama Mh. Mbowe amefaa kuwa mwenyekiti, hata Afande Sele atafaa kuwa mbunge wa kupitia CHADEMA.
Wengi wameziweka kama ringtone kwenye simu zao!
Mimi namjua Afande vizuri sana yani lazima atakuja kuwazingua chadema hanaga zuri.
Kama Mh. Mbowe amefaa kuwa mwenyekiti, hata Afande Sele atafaa kuwa mbunge wa kupitia CHADEMA.
Huo wimbo wa sugu nimeusikiliza mara 5 kusema kweli ni aibu kubwa kwa kiongozi wa watu kufanya haya. Nimemdhalau sana. Jamani bangi mbaya sana.