Afande Sele na Sheikh Nurdin Kishki nani kakosea?

Wote wamekosea ila kiongozi wa dini ningemuona ana busara kama angemtafuta muhusika na kuongea nae kujua anasumbuliwa na nini na kutafuta njia za kumsaidia kumrudisha kwenye mstari kondoo wake kuliko kufanya aliyofanya kwanza hana mamlaka hayo ya kuhukumu yeye sio Mungu.
 
Inawezekana kakosea lakini hakuhukumu aliomba Mungu ndio ahukumu
 
Bangi ni kitu cha hovyo sana.

Kuna jamaa mmoja alipiga mkewe barabarani baada ya kuvuta bangi.
 
Ndio kuingilia kazi za Mungu huko na kujihesabia haki
Kumuomba Mungu ni kuingilia kazi yake? Wakati sina kibarua nilikuwa namuomba Mungu nipate kibarua je nilikuwa naingilia kazi yake?
 
Nabii gani huyo alijificha katikati ya mti kwenye biblia wakaja pasua mti kwa msumeno? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alipewa siku 7 awe ameshakufa lkn naona dogo bado anadunda.
 
Mbona kwenye mitandao hawarushi? Kamuomba msamaha Mungu?
M'Mungu ni mwingi wa kusamehe
kaomba radhi kwa binadamu wenzie wanaomcha Mungu
video ipoo ningekuwekea hapa sema ndo nashindwaa
 
Ahsante sana..Umenifungua mimi pia kifikra maana nilishamwona shehe nurdin kama kakosea ila kwa post hiyo na majibu yako shehe nurdin Yuko sahihi kwa sababu hapo aliyetukanwa siyo Mungu tu wote tulitukanwa hadharani hivyo kumwombea mabaya afande sele hadharani siyo vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…