Afande Sele: Nikipata Ubunge nitanyoa Rasta

Afande Sele: Nikipata Ubunge nitanyoa Rasta

Kumpata mwanasiasa aliye "mwanasiasa" katika nchi za Afrika ni kazi sana
 
haya wapiga kura ahadi ya mbunge hiyo mupya akipata ubunge atanyoa rasta
 
Shida ni elimu au uwezo wa kupambanua mambo?

Kwahiyo unataka kusema wabunge wa kenya hawana uwezo wa kupambanua mambo? hadi aende akangombee kaunti ya garissa? wabongo bhana
 
Jani je? Ataendelea kulipuliza?

images

Nadhani hataliacha, Mbona SUGU anaendelea nalo?
 
Kwa kweli Sele akipata ubunge mbona hii nchi nitajua vichaa wameongezeka kwa idadi ya kura atakazo pata.
 
Back
Top Bottom