Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
watu wanajiunga jf kwa sababu maalum
Kumpata mwanasiasa aliye "mwanasiasa" katika nchi za Afrika ni kazi sana
Shida ni elimu au uwezo wa kupambanua mambo?
Kumpata mwanasiasa aliye "mwanasiasa" katika nchi za Afrika ni kazi sana
haya wapiga kura ahadi ya mbunge hiyo mupya akipata ubunge atanyoa rasta
Jani je? Ataendelea kulipuliza?
ha ha ha akishinda namie nanyoa rasta zangukumbe hizi Rasta alizonazo sasa ni kutokana na njaa???