Afande Sele: Nina wanawake kama sita hivi nawapima

Ningekuwa rafiki wa Afande baada ya kauli hii ningejitoa, ndoa imekuwa mtihani wa watahiniwa sita. No thank you.
 
Alisema akifa achomwe moto. Kwa style hii aandae kuni na petrol vikae standby!

Aisee hilo jina la mfalme limemdanganya kajiona selemani akajifananisha na suleimani kweli mjani kiboko
duh...izi comment 2 nimezisoma saa 11 alfajiri nimecheka kwa nguvu mpaka kibaka aliekuwa anachungulia dirishani kakimbia akijua namdhihaki yeye
 
Kwa hyo hicho kipimo si atufundishe maana mm nina 15 na wengine hatujuani
 

Afande Sele aachana na Uislamu, sasa anaabudu Jua!

Afande Sele: Watanzania tuache unafiki, bhangi ihalalishwe (Video)

Jamaa amesema anamshukuru Mungu. Kweli weed sio mchicha. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 

Fikra za kishetani hizi.
 
Kweli kazi ipo kwa mwenendo huu,ctaki imagine ambavyo ingekuwa kwa hawa wanawake
 
Sio watano ni sita, kwa hesabu ya haraka na hao wanawake kila mmoja akiwa na wanaume kumi kama yeye inafanya jumla wawe wanaume 60 na wanawake 6 wote wanapimana oil.
Asante kwa habar kwa kina,uendelee na moyo huohuo
 
huyu jamaa ,at anytime huwa anakua kwny akili za ucku,cjui mida gan huwa anakuwa vzur aje kuongea vitu vya msingi vya kusikiliza,bang ishaharibu busara za hyu kiumbee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…