Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisema akifa achomwe moto. Kwa style hii aandae kuni na petrol vikae standby!
duh...izi comment 2 nimezisoma saa 11 alfajiri nimecheka kwa nguvu mpaka kibaka aliekuwa anachungulia dirishani kakimbia akijua namdhihaki yeyeAisee hilo jina la mfalme limemdanganya kajiona selemani akajifananisha na suleimani kweli mjani kiboko
Mussa allan upo? Miss you so much, tangu umehamia kule, umeadimika kweliAlisema akifa achomwe moto. Kwa style hii aandae kuni na petrol vikae standby!
Hujambo dadaMussa allan upo? Miss you so much, tangu umehamia kule, umeadimika kweli
Sijambo mdogo wangu, hbr za siku nyingi?Hujambo dada
Nipo Mkuu wangu.Mussa allan upo? Miss you so much, tangu umehamia kule, umeadimika kweli
View attachment 359447
Afande Sele
"Niwe mkweli tu hilo wazo la kuvuta jiko sina,
namshukuru Mungu nimepata watoto wawili naweza kwenda nao vizuri na kuwalea, kusema nifunge ndoa leo au kesho utakuwa uongo sababu ndoa si kusema mwanamke kuchukua nyanya tu gengeni,lazima nipate mwanamke amabaye atakuwa na vigezo vya kuwa na mimi atajua nini maisha ambayo mimi nayahitaji, atanielewa tabia zangu za nje na ndani hivyo sidhani kama ni rahisi kupata mke kwa kipindi hiki ila najivunia kuwa na marafiki ambao wanasaidia kulea watoto wangu, wanawapenda watoto zangu hicho nashukuru" alisema Afande Sele.
"Nipo kwenye kupima nawapima na wao wananipima mimi, mimi na marafiki wa hivyo wakati ukifika nikiona yupo anafaa kuwa na mimi nitakuwa naye lakini niwe mkweli, siko mwenyewe au kusema natumia sabuni hapana mimi na warembo kama kawaida, wananisaidia kukaa na watoto wangu, wanaheshima. Maana mimi ni kama mfalme hata mfalme Suleman alikuwa wa wake zaidi ya mia tatu kwenye nyumba yake, hata mimi wapo kadhaa ila hawazidi sita" aliongeza Afande Sele
View attachment 359447
Afande Sele
Msanii wa muziki na mwanasiasa kutoka mji kasoro bahari, Afande Sele amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hatarajii kuoa kwani bado yupo yupo sana ingawa anakiri wazi kuwa yupo na mahusiano na wanawake kama sita hivi ambao wanamsaidia kumtunzia watoto wake huku akiangalia kati ya watu hao alionao yupi anastahili kuwa malkia.
Afande Sele alisema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya Eat Africa Radio na kusema kwa sasa yeye kusema atafunga ndoa itakuwa ni uongo mkubwa kwani watu alionao anaona bado wanapimana maana wao wanampima yeye na yeye anawapima wao na kuona yupi anastahili kuingia ndani kama mke.
"Niwe mkweli tu hilo wazo la kuvuta jiko sina, namshukuru Mungu nimepata watoto wawili naweza kwenda nao vizuri na kuwalea, kusema nifunge ndoa leo au kesho utakuwa uongo sababu ndoa si kusema mwanamke kuchukua nyanya tu gengeni,lazima nipate mwanamke amabaye atakuwa na vigezo vya kuwa na mimi atajua nini maisha ambayo mimi nayahitaji, atanielewa tabia zangu za nje na ndani hivyo sidhani kama ni rahisi kupata mke kwa kipindi hiki ila najivunia kuwa na marafiki ambao wanasaidia kulea watoto wangu, wanawapenda watoto zangu hicho nashukuru" alisema Afande Sele.

"Nipo kwenye kupima nawapima na wao wananipima mimi, mimi na marafiki wa hivyo wakati ukifika nikiona yupo anafaa kuwa na mimi nitakuwa naye lakini niwe mkweli, siko mwenyewe au kusema natumia sabuni hapana mimi na warembo kama kawaida, wananisaidia kukaa na watoto wangu, wana
Kweli kazi ipo kwa mwenendo huu,ctaki imagine ambavyo ingekuwa kwa hawa wanawakeView attachment 359447
Afande Sele
Msanii wa muziki na mwanasiasa kutoka mji kasoro bahari, Afande Sele amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hatarajii kuoa kwani bado yupo yupo sana ingawa anakiri wazi kuwa yupo na mahusiano na wanawake kama sita hivi ambao wanamsaidia kumtunzia watoto wake huku akiangalia kati ya watu hao alionao yupi anastahili kuwa malkia.
Afande Sele alisema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya Eat Africa Radio na kusema kwa sasa yeye kusema atafunga ndoa itakuwa ni uongo mkubwa kwani watu alionao anaona bado wanapimana maana wao wanampima yeye na yeye anawapima wao na kuona yupi anastahili kuingia ndani kama mke.
"Niwe mkweli tu hilo wazo la kuvuta jiko sina, namshukuru Mungu nimepata watoto wawili naweza kwenda nao vizuri na kuwalea, kusema nifunge ndoa leo au kesho utakuwa uongo sababu ndoa si kusema mwanamke kuchukua nyanya tu gengeni,lazima nipate mwanamke amabaye atakuwa na vigezo vya kuwa na mimi atajua nini maisha ambayo mimi nayahitaji, atanielewa tabia zangu za nje na ndani hivyo sidhani kama ni rahisi kupata mke kwa kipindi hiki ila najivunia kuwa na marafiki ambao wanasaidia kulea watoto wangu, wanawapenda watoto zangu hicho nashukuru" alisema Afande Sele.
"Nipo kwenye kupima nawapima na wao wananipima mimi, mimi na marafiki wa hivyo wakati ukifika nikiona yupo anafaa kuwa na mimi nitakuwa naye lakini niwe mkweli, siko mwenyewe au kusema natumia sabuni hapana mimi na warembo kama kawaida, wananisaidia kukaa na watoto wangu, wanaheshima. Maana mimi ni kama mfalme hata mfalme Suleman alikuwa wa wake zaidi ya mia tatu kwenye nyumba yake, hata mimi wapo kadhaa ila hawazidi sita" aliongeza Afande Sele
Asante kwa habar kwa kina,uendelee na moyo huohuoSio watano ni sita, kwa hesabu ya haraka na hao wanawake kila mmoja akiwa na wanaume kumi kama yeye inafanya jumla wawe wanaume 60 na wanawake 6 wote wanapimana oil.
Kwamba nae mrahisi kiivohuyo ndio simba bwana,na angefanikiwa kwenda mjengoni yule dada pale bungen nadhani naye angekuwa wa saba