Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Wote tunajua Dudu baya anapinga ushoga kwa kauli mbiu ya You better watch your back

Afande amekosea kitendo cha Waziri wa mambo ya ndani, kuwaita mashoga kwamba ni Wasanii na akawaita wakutane naye. Humo humo kwenye mashoga akaita na wasanii ambao ni kioo cha jamii. Pia kuna watu si wasanii lakini wamewekwa kapu moja na Wasanii. Ni kwamba kakosea.

MY TAKE
Sijawahi kumuona Katambi anakemea ushoga. Nakumbuka Marehemu Magufuli alishawahi mlazimisha kuoa.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyo anayejiita afande ni nani nchi hii mpaka amdhalilishe waziri? Ana ushahidi wa hizo tuhuma? Kwanini hajakamatwa mpaka sahv athibitishe hizo tuhuma? Hizo ni tuhuma kubwa kamateni mfungulieni kesi ya udhalilishaji atakuja kuwalipa mabilioni ambayo hana huyo chokoraa! Hv kwanini mnawaacha watu wanafanya mambo ya hovyo ya kudhalilisha utu wa wengine na mnamwacha kwasababu anaitumia kisiasa? Hii serikali inadharauliwa na hata na mtu km Sele?
 
Watajeni basi hao aliokaa nao.
 
Wewe kwani nani wa kuamrisha vyombo vya Dola kumkamata Afande sele......Tuliza komwe sindano ikuingie! Na hapa Kuna mawili Wewe ni shoga au unawatumia mashoga So umekasirika Wamekutaja au wametajwa washirika wako wa ushoga! Period!
 

Atawalipa nini Afande Sele njaa kali
 
Tofauti ya sele na mwigulu ni ipi?
 
Inawezekana Kumbe Kalai linakalaishwa na lilitaka kukutana na wenzake
 
Bila jpm kumforce aoe huyo katambi sizani kama angeoa 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…