Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga

Wote tunajua Dudu baya anapinga ushoga kwa kauli mbiu ya You better watch your back

Afande amekosea kitendo cha Waziri wa mambo ya ndani, kuwaita mashoga kwamba ni Wasanii na akawaita wakutane naye. Humo humo kwenye mashoga akaita na wasanii ambao ni kioo cha jamii. Pia kuna watu si wasanii lakini wamewekwa kapu moja na Wasanii. Ni kwamba kakosea.

MY TAKE
Sijawahi kumuona Katambi anakemea ushoga. Nakumbuka Marehemu Magufuli alishawahi mlazimisha kuoa.

Mada haileweki maudhui yake.
Fafanua!
 
Je alivyolazimishwa kuoa, alioa?
 
Je alivyolazimishwa kuoa, alioa?
Ndoa imemshinda.. Mke yupo usukumani yeye yupo Masaki. Kisa eti anatumika na CHADEMA. Kumbuka huyu demu wake wote walikuwa CHADEMA
 
Vitu vya kijingajungaaa....
Yani awamu hii kmmke
 
Kwani Dudu baya yeye anasemaje

Back
Top Bottom