KERO Responded Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha SGR - Morogoro haufai, unachelewesha Watu na unachosha abiria

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Your browser is not able to display this video.
Huu ni Ujumbe wa Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele kuhusu huduma ya Kituo cha Treni ya Mwendokasi (SGR) Mkoani Morogoro.

Afande ameandika "Time is Money. 🔨Muda ni Pesa.. Muda ni Mali.. Muda ni uchumi✊🏽Jamii ambayo haiwezi kuheshimu muda,isahau kupata maendeleo yoyote ya kijamii ukitoa kujamiiana."

Majibu ya TRC yapo hapa ~ Fredy Mwanjala: Madereva wasiofuata taratibu ndio sababu ya foleni Kituo cha SGR Morogoro
 
Na huu ndio ukweli wenyewe. Chawa ndio muhimu kwa Tanzania.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Yaaani wameweka geti moja tu lakutokea magari, pna foleni kubwa ya kulipia tickeck ya kutoka, waliatazame hili,waongeze geti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…