Afande Sele:Video yangu ya gharama ni shilingi milioni moja!

Afande Sele:Video yangu ya gharama ni shilingi milioni moja!

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,774
Adai kwamba hana sababu ya yeye kutumia pesa nyingi kutendeneza video maana ahitaji kujipaka poda, lipstick, mkorogo na kadhalika
Mara nyingi anatumia laki 5 hadi 7 kuandaa video, kwanza soko la video bongo halipo na pili video ni kwa ajili ya kufikisha ujumbe tu na si kujionesha.
Hiyo milioni moja aliitumia alipotengeneza video na Adili na ilimlazimu kwasababu ya kwenda sehemu mbalimbali..

Source clouds fm.
 
wakat msanii ay anatumia million 30.yeye laki 5-7 bado anaona nyingi.
 
hv mziki wake wa mwisho alitoa lini, mie naona amefulia japo heshima anatembea nayo
 
ugumu wa kijinga , busara zake nae huaga mida mingine sizielew wala nn, Sasa kama anataka kufikisha ujumbe ndo atovideo mbaya? kitu kingine inaonakana anataka mziki wake uishie Tanzania tu ndo maana kasema hakuna soko la video TZ. Huyo Bhana Hana Pesa Za Kutengeneza Video Za Milion Sita ndo maana anajipretend. ivi wakuu hata bob male naye alikua mguu kama AFANDE au kuna siku nilimuona anapiga shoo yaan kwel ni mtu pol ,
 
AFANDE.jpg
 
ganja(cha morogoro) type point of view.tumchukulie poa.
 
hv mziki wake wa mwisho alitoa lini, mie naona amefulia japo heshima anatembea nayo
Afande hadi kesho mkali, kuna lile pini lake la karibuni, sifahau linaitwaje lakini full mbolea!
 
Kwa upande wangu naona hayukoserious na kile anacho kifanya kwa maana mziki ni biashara na biashara lazima uwekeze, hao ndio wanaona wenzaoakina AY, Diamond wanatumia pesa nyingi kutengeneza video wakifanikiwa wanaanza kuwaita ma freemasons.
Ukinvest kidogo utavuna kidogo ukiwekeza sana utavuna sana. Leo hii wabongo tunaangalia sana quality za video kama mbovu hata kama wimbo ni mzuri unaushusha aache mambo ya kizamani video nzuri haina maana kupaka poda na lipshine, kuna vifaa vilivyotumika, locations, shots na editing za kiprofessional sio unatoa video ina editing kama za harusi au over ime editiwa kwenye windows movie maker
 
Mnaomponda Afande ni wote mlionza kusikiliza music kuanzia 2005 to date....
 
Back
Top Bottom