Kwa upande wangu naona hayukoserious na kile anacho kifanya kwa maana mziki ni biashara na biashara lazima uwekeze, hao ndio wanaona wenzaoakina AY, Diamond wanatumia pesa nyingi kutengeneza video wakifanikiwa wanaanza kuwaita ma freemasons.
Ukinvest kidogo utavuna kidogo ukiwekeza sana utavuna sana. Leo hii wabongo tunaangalia sana quality za video kama mbovu hata kama wimbo ni mzuri unaushusha aache mambo ya kizamani video nzuri haina maana kupaka poda na lipshine, kuna vifaa vilivyotumika, locations, shots na editing za kiprofessional sio unatoa video ina editing kama za harusi au over ime editiwa kwenye windows movie maker