Afande Sele: Wanangu, nikifa mnichome moto

We mzee na story zako za kutisha[emoji23]
 
Hahaa mkuu ni kweli siwape watoto mzigo wa mawazo yeye akulipe kabsa siku hyo unawaletea majivu tu
 
Itakuaje kama ukitangulia wewe mkuu, sorry nmewaza lakn.
 
Ina maana mkuu nawewe una uhakika kwamba ataanza kutangulia yeye au
 


wewe jamaa na wewe ni mtata. niliwai kuhudhuriaga ya mshikaji wangu mmoja mjerumani. nikaapa hiloo tukio sitakaa nihudhurie na mafuta ya samli sitaki kuyasikia maana ndo yalikuwa yanatumika kama kichocheo.. mke wake, ndugu zake na watoto walikuwa wanashuhudia.

naskia yale majivu huwa ni biashara.
 
Vyovyote vile bora unaijua hata hilo kwamba ipo siku tutasimama mbele za Mola wetu mlezi na kuesabiwa tuliyo ya tenda hapa duniani "no escape turn for dat boss u want u don't want u 'll face it"
Illusions
 
We mzee na story zako za kutisha[emoji23]
[emoji100][emoji100][emoji100][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji100][emoji100][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nimewabutua sana wavimba macho huko kwao... Na Ilikuwa kila nikimaliza misosi kama kawa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukifa wewe kabla yake ? Au wewe una uhakika wa kuishi ? Ila afande Sele hana hivyo kafanya kosa kuwaambia wanawe ?

Wanao acha will huwa ni wapumbavu ?
 
Sawa tumekusikia,tena tutaweka mafuta ya petrol kwa wingi uungue vizuri

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…