Afande Sele: Wanangu, nikifa mnichome moto

Bangi aka ngada!! Anazan akichomwa moto mwili ukawa majivu Mungu hana uwezo wa kumfufua na aka azibiwa kwa yale aliyo kua akiyatendaa!??? Bin adam ni hataree!!
Nyie watu mmerogwa
 
Dar kijitonyama
Hata Morogoro ipo kuna mhindi mmoja Rafiki yangu alichomwa alipokufa Moro maeneo ya Barabara ya kwenda Mazimbu ile ya wakimbizi original sio hii inayopitia Ipoipo
 
Anataka Umaarufu tu Nairobi hapo watu wanapigwa kibiriti utadhani India
 
Aache na pesa kabisa ya hilo zoezi maana kuna gharama, asije akawatesa ndugu na jamaa kuchanga huku akaunti yake yeye ipo hoi.
 
Mbona na wewe unarudia kosa lile lile la Afande? Au mzee una uhakika utakuwepo siku ya mwisho ya Afande?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu na wewe una uhakika gani kwamba atakufa kabla yako?
Ili hiyo kazi uifanye kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…