Afande sele:wikipedia waongo,nahiki ndicho alichoandika kupitia ukurasa wake wa FB

Afande sele:wikipedia waongo,nahiki ndicho alichoandika kupitia ukurasa wake wa FB

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
1,021
Reaction score
189
Afande Sele The'King

Ukisoma historia yangu kupitia
WIKIPEDIA kamusi elezo huru, kuna
sehemu wameandika kuwa
nilishawahi kushinda tuzo za kili
wakati si kweli zaidi katika historia
yangu yote ya muziki hapa bongo
nimeshawahi kushinda tuzo moja tu
ya 'KING OF RHYMES' ambayo hata
hivyo nilipata kwa kupitia nguvu ya
umma tu kwa kuwa 'king of rhymes'
ndio shindano pekee katika historia
ya muziki wa bongo lililoandaliwa na
kuamuliwa kupitia nguvu ya umma
kiasi cha kuteka hisia za raia wa rika
zote kama ilivyo kwa uchaguzi wa
rais.
 
haelewi huyu bwana, wikipedia ni taarifa zinazowekwa na watu kama mimi au wewe! anaweza fungua account kisha akarekebisha kwa kilichokuwa sahihi na sio kupiga kelele....
 
haelewi huyu bwana, wikipedia ni taarifa zinazowekwa na watu kama mimi au wewe! anaweza fungua account kisha akarekebisha kwa kilichokuwa sahihi na sio kupiga kelele....

Afande sele amekariri,wikipedia inaeditika wewe,fungua akaunt urekebishe kama kuna makosa mahala
 
Afande ingia mwenyewe kwenye Wikipedia,edit ili uweke taarifa zako sahihi. Inawezekana.Au kama hauwezi waone wataalamu wa IT hapo mtaani kwenu Misufini.
 
163550_656907004323721_2112383020_n.jpg


afande_sele4.jpg

afande+sele.JPG


mfundishen namna ya kuedit si kulalamika
 
Hahahaha hivi hii picha ya ukweli? haki na huyu anavuta bange kama sio yale maunga yao. Ndo maana vipaji vinapuputika kwa upuuzi kama huu. Kubafu kabisa

ni kweli kabisa dada mary mary. usishangae sana
 
Aliekwambia kuna rais Tanzania aliyechaguliwa kwa demokrasia ya kura nani?
 
Muacheni afande, kama ni kumuonya kwa mabaya yake si mumuendee live kwenye inbox yake fbook? Uzuri yuko simple na muelewa. Kumuweka hapa mnamchafua tu na haisaidii
 
Back
Top Bottom