Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
Afande Sele The'King
Ukisoma historia yangu kupitia
WIKIPEDIA kamusi elezo huru, kuna
sehemu wameandika kuwa
nilishawahi kushinda tuzo za kili
wakati si kweli zaidi katika historia
yangu yote ya muziki hapa bongo
nimeshawahi kushinda tuzo moja tu
ya 'KING OF RHYMES' ambayo hata
hivyo nilipata kwa kupitia nguvu ya
umma tu kwa kuwa 'king of rhymes'
ndio shindano pekee katika historia
ya muziki wa bongo lililoandaliwa na
kuamuliwa kupitia nguvu ya umma
kiasi cha kuteka hisia za raia wa rika
zote kama ilivyo kwa uchaguzi wa
rais.
Ukisoma historia yangu kupitia
WIKIPEDIA kamusi elezo huru, kuna
sehemu wameandika kuwa
nilishawahi kushinda tuzo za kili
wakati si kweli zaidi katika historia
yangu yote ya muziki hapa bongo
nimeshawahi kushinda tuzo moja tu
ya 'KING OF RHYMES' ambayo hata
hivyo nilipata kwa kupitia nguvu ya
umma tu kwa kuwa 'king of rhymes'
ndio shindano pekee katika historia
ya muziki wa bongo lililoandaliwa na
kuamuliwa kupitia nguvu ya umma
kiasi cha kuteka hisia za raia wa rika
zote kama ilivyo kwa uchaguzi wa
rais.