Afande!

Afande!

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
1,585
Reaction score
1,073
Hapo lazima uwe mpole.....
 
Attachments

  • daladala-afande.jpg
    daladala-afande.jpg
    28.1 KB · Views: 331
wanaforce tu kutokulipa, kwani hawalipwi mishahara?
 
Ilitakiwa walipe ila wanafanya ubabe...
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha nimecheka sana
 
kuna siku moja konda alikasirika sbb gari ilijaa wanafunzi na wanajeshi watatu akasema 'leo nuksi kweli gari imejaa madent na maiti watatu'gues mwenyewe what happened.!
 
CheusiMangala walah ninavyokumisi nashindwa hata kuwaza jengine
 
NESI, MWALIMU NAO WASAMEHEWE NAULI YA DALA DALA.......... Ongeza wengine ungependa wasilipe nauli kama maa-fande
 
kuna siku moja konda alikasirika sbb gari ilijaa wanafunzi na wanajeshi watatu akasema 'leo nuksi kweli gari imejaa madent na maiti watatu'gues mwenyewe what happened.!

Ni kichapo tu!
 
Back
Top Bottom