Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Hapo kaz hipowamemponza mtoto wao kwa upumbavu wao sasa wako wanajuta
kesho jamaa anaona mwingine wao wabaki na singo mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kaz hipowamemponza mtoto wao kwa upumbavu wao sasa wako wanajuta
kesho jamaa anaona mwingine wao wabaki na singo mama
NakaziaMr. Edward kaepushiwa jambo kubwa sana hana budi kusheherekea. Ila ukiona unakomaliwa kumaliza mahari usioe tena hapo. Mahari huwa haimalizwi.
Anyway msimamo ni ule ule KATAA NDOA
Pia kuna: Kufa na Kupona na HujumaHuyu mwamba ameandika vitabu vingi kumbe duh. Nakumbuka kikosi cha kisasi. Na njama.
Ata km ni wewe laki mbli la kumalizia mahari ndio ukalewee kweli..Alienda kwenye send-off amechangamka yaani kalewa bwiii, YUPO tungi, yaani katinga ile MBAYA! Dawa yake NI kumnyima mke! Hapo wake wamekurupuka, inamaana MIAKA yote hawakujua kuwa mtoto wao ANAISHI na mlevi??!!
Wakwe walitaka jamaa aje kinyonge 😂eti alikuja kwenye sendoff kachangamka
“Kupata na kukosa yote ni sehemu ya maisha, cha msingi sana ikiwa kama Mtu unaweza kusherehekea na kufurahia ukipata basi ni vizuri pia hata ukikosa pia usherehekee na kufurahia kwa sababu mpango wa Mungu yeye ndio anayejua” amesema Edward Futakamba.Katika hali isiyo ya kawaida katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Edward Futakamba Mkazi wa Kata ya Nsemulwa amewashangaza wengi baada ya kufanya sherehe ya harusi licha ya Bibi harusi kugoma kufunga ndoa hiyo.
Edward aliyekuwa akiishi na Mwanamke aitwaye Marry na kufanikiwa kupata Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu ambapo baadae waliamua kwa pamoja kufunga ndoa na taratibu zikaendelea ikiwemo kutoa mahari ya shilingi 1,200,000/- na maandalizi ya harusi kufanyika ili ndoa ifungwe July 26 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Katibu wa Kamati ya harusi hiyo Simon Moshi amesema siku nne kabla ya tarehe hiyo walipata taarifa kuwa upande wa Bibi harusi wameweka pingamizi kanisani la kuzuia ndoa hiyo “Tulijaribu kuwatafuta kuongea nao ili angalau hili suala liende kama lilivyokuwa lakini ikashindikana, tukaona haiwezekani Watu wametoa mchango yao alafu hili suala likatishwe”
“Sababu ambayo sisi tuliambiwa kama kamati walisema kwamba kwanza bwanaharusi alikuja amechangamka kwenye send off na wakasema kwamba kuna laki mbili haijamalizwa ya mahari”amesema Katibu wa Kamati ya harusi.
“Kupata na kukosa yote ni sehemu ya maisha, cha msingi sana ikiwa kama Mtu unaweza kusherehekea na kufurahia ukipata basi ni vizuri pia hata ukikosa pia usherehekee na kufurahia kwa sababu mpango wa Mungu yeye ndio anayejua” amesema Edward Futakamba.
Hahahaha ila makatili ni wengi sana. Yaani,mahali mkopo! Ila ingekuwa poa,japo asingepigiwa simu na waziriTatzo jamaa hakuwa na mchepuko wa maana,dawa ilikuwa ni kubadilisha bibi harusi fasta,ukwen wangekufa kwa presha