Afanya sherehe ya harusi bila Bibi Harusi, baada ya kikeni kuzingua dakika za jioni

Safi kabisa huyu ndo mwamba sasa KATAA NDOA furahia maisha. Jamaa kaona isiwe tabu wacha nile vibe na wana we endelelea kukaa na wazazi wako
 
Kupata na kukosa yote ni sehemu ya maisha, cha msingi sana ikiwa kama Mtu unaweza kusherehekea na kufurahia ukipata basi ni vizuri pia hata ukikosa pia usherehekee na kufurahia kwa sababu mpango wa Mungu yeye ndio anayejua” amesema Edward Futakamba.

Mwisho wa kunukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…