Afanyaje apate mtoto wa kiume?

Afanyaje apate mtoto wa kiume?

leirilwa

Senior Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
118
Reaction score
22
Jamani wadau habari zenu!

Ushauri, msaada unahitajika.

Jamani, iko hivi nina kakangu ambaye ameoa miaka 15 iliyopita yeye na mkewe wamejaliwa watoto wa kike tu wako saba na mda wote huo alikuwa anatamani angempata mtoto wa kiume, anaweza kuwa na tatizo kwenye mbegu yake ya Y?Au ni kwamba hawalengi ile tarehe ya mtoto wa kiume?

Naomben mawazo yenu ili niweze kumshauri
 
Ndugu wapendwa nilipata kusikia unaweza kujipatia uzazi kadri upendavyo haswa kwa wanamme katika uzazi wa mpango wa namna ya kipangilia watoto wa kiume na kike,habari hizi ni kweli? Kama ni kweli wenye ujuzi wanipe elimu
 
Ngoja waje madaktari humu watakupa majibu
 
Google zaidi. Ila kiufupi unapaswa kujua ni lini siku ya ovulation (kupevuka kwa yai). Theory rahisi zaidi ni kuwa mbegu zinazozalisha mtoto wa kiume haziishi kwa muda mrefu japokuwa zina nguvu zaidi kwa hiyo mkutane wakati wa ovulation. Mkikutana kabla ya ovulation mbegu za kiume zitakufa na yai likipevuka litakutana na za kike tu.

In his book How to Choose the Sex of Your Baby, Shettles explains that the male (Y) sperm is smaller, faster, and more short-lived than the female (X) sperm. Because of this, it is better for boy-desiring couples to have sex closest to the time when a woman's egg is released (ovulation). This way, the speedy male sperm could get to the egg sooner than the female one.

The Y chromosome apparently also enjoys an advantage over its counterpart when the sperm is discharged as close as possible to the opening of the cervix. This is achieved through rear entry intercourse (man enters woman from behind).

Parents desiring a girl, on the other hand, are encouraged to have sex in the missionary position (face to face, man on top) about two to four days before ovulation so that by the time the egg comes, only the heartier, more resilient X sperm will remain in the woman's reproductive tract.

The Shettles method has reportedly been effective at least 75% of the time, with the rate slightly lower for girls than for boys. Pat Buie, a registered nurse from Canada, incorporated Shettles' method into her sex selection plan -- described in her book Choose the Sex of Your Baby Naturally -- and claims to have a 95% success rate.

Many fertility experts question the value of natural sex selection strategies such as the Shettles method.
 
Je mzunguko mrefu kama siku 32 kwa mwanamke una effect yeyote kwenye kupata ujauzito?
 
Mke wake anautelezi mwingi/maji mengi, apunguze huo utelezi atapata mtoto wa kiume bila shida.
 
Kwanza unatakiwa ujue siku za mwenza wako vizuri.
Nitaeleza kwa wale wa siku 28 tu.

Kwanza ijue siku mwenza wako alipata hedhi..then anza kuhesabu toka siku ile hadi siku ya 14...let say alianza leo tar 5 Jan.sasa siku ya 14 itaangukia tar 18 January.

Kwanini siku ya 14?kwasababu toka mwenza wako apate hedhi,itamchukua siku nyingine 14 yai jingine kupevuka na kuwepo katika mirija ya kurutubishia yai ambapo siku hiyo anaweza kupata mimba.

Sasa,baada ya kujua hilo,unatakiwa kujua life span ya mbegu za kike na zile za kiume.

Mwanaume anatia gamet mbili,yaani XX na YY.

XX inaishi mda mrefu yaani saa 72.

YY inaishi mda mfupi yaani saa 48.

Mwanamke yai lake linaishi kwa mda wa saa 36 tu na gamet anazotoa ni XX.

Hivyo ukirejea pale juu siku yetu ya mfano ya mwenza wako kupata hedhi ilikuwa tar.5 Jan hivyo siku ya tar 18 yai lake litakuwa limekomaa na kuwekwa sehemu ya kurutubishia(fallopian tube) tayari kwa urutubishaji.

Hivyo ukipiga hesabu zako pale,tar 18 hapati mimba?
Jibu ni kuwa atapata iwapo utakutana naye kwani yai litakuwa limekomaa. Na kama unataka mtoto wa kiume unashauriwa usubiri usiku sana kama kuanzia saa tano na kuendelea.

Tar 19 hapati mimba? Jibu ni kuwa atapata na asilimia kubwa sana atazaliwa mtoto wa kiume kwasababu yai litakuwa tayari kwenye mirija ya kurutubishia likiwa linasubiri mbegu za kiume.
Kumbuka male gamet za YY zina mbio zaidi ya zile za mbegu za kiume za XX.

Je tar 20 hatapata mimba? Jibu ni kuwa ukiwahi zaidi atapata kwasababu yai la kike linaishi kwa mda wa saa 36 hivyo ukiwahi kabla mda huo haujaisha basi utapata mtoto dume ila ukichelewa yai la kike XX litakuwa limekufa.

Vip kwa mtoti wa kike?

Tar 17 jan.hapati mimba? Jibu ni kuwa atapata kwa kuwa mbegu za kiume XX na YY zitakuwa hai hadi tar 18.

Je tar.16? Atapata kwa kuwa mbeguu XX na YY zitakuwa bado hai hadi tar 18 Jan.

Sasa vip tar 15? Atapata mtoto na uwezekano mkubwa ni mtoto wa kike kwasababu hadi tar.18 mbegu za kiume YY zitakuwa zimepitisha mda wake wa uhai yaani saa 48 na kuziacha mbegu XX peke yake zikijivinjari.

Tar 14 kama ilivyo tar 21 ni siku ya tahadhari tu lakini uwezekano ni mdogo sana.

XX zinaishi mda mrefu ila mbio kidogo na YY mbio sana lakini maisha mafupi.

So hesabu siku 14 toka hedhi ya mke wako,tar itakayoangukia ukiongeza siku 2 toka tar hiyo siku ya 14 ilipodondokea mda wa usiku wa siku ile ya 14 basi utapata dume na siku inayofuata mda wowote.

Na ukipunguza siku 3 toka siku ya 14 inapodondokea then ukutane na mwenza wako basi mtoto jike anaweza kuja....cheza tu na life span ya yai la kike na life span ya mbegu XX na YY basi

Karibu
 
Namna nyingine unaweza kujua siku ya mwenza wako (ke) kwa badiliko la joto tumia kipima joto kuona mwenendo wa mke wa hali joto wakati wa alfajir joto likiwa juu kwa wastani haswa siku za mwanzon akitoka kwenye mzunguko wako fanya hivyo takriban katika mizunguko miwili utapata kati ya masiku hayo ipi joto lake ni kubwa ukilinganisha na siku nyingine rudi siku nyuma anza kujituma utaona mabadiliko
 
Pia anatakiwa atumie mikao haswa ya mwanamke akiwa amenyanyua kiuno au chuchu...... mikao hii huisogeza mirija ya uza karibu zaid na mzee hivyo mbegu za kiume ni rahisi kufika kwa haraka kama tulivyoona kasi yake ya kusafiri
 
Duh hilo swala lipo kuna watu wanapata watoto wakike tu nalo tatizo
 
Kwanza unatakiwa ujue siku za mwenza wako vizuri.
Nitaeleza kwa wale wa siku 28 tu.

Kwanza ijue siku mwenza wako alipata hedhi..then anza kuhesabu toka siku ile hadi siku ya 14...let say alianza leo tar 5 Jan.sasa siku ya 14 itaangukia tar 18 January.

Kwanini siku ya 14?kwasababu toka mwenza wako apate hedhi,itamchukua siku nyingine 14 yai jingine kupevuka na kuwepo katika mirija ya kurutubishia yai ambapo siku hiyo anaweza kupata mimba.

Sasa,baada ya kujua hilo,unatakiwa kujua life span ya mbegu za kike na zile za kiume.

Mwanaume anatia gamet mbili,yaani XX na YY.

XX inaishi mda mrefu yaani saa 72.

YY inaishi mda mfupi yaani saa 48.

Mwanamke yai lake linaishi kwa mda wa saa 36 tu na gamet anazotoa ni XX.

Hivyo ukirejea pale juu siku yetu ya mfano ya mwenza wako kupata hedhi ilikuwa tar.5 Jan hivyo siku ya tar 18 yai lake litakuwa limekomaa na kuwekwa sehemu ya kurutubishia(fallopian tube) tayari kwa urutubishaji.

Hivyo ukipiga hesabu zako pale,tar 18 hapati mimba?
Jibu ni kuwa atapata iwapo utakutana naye kwani yai litakuwa limekomaa. Na kama unataka mtoto wa kiume unashauriwa usubiri usiku sana kama kuanzia saa tano na kuendelea.

Tar 19 hapati mimba? Jibu ni kuwa atapata na asilimia kubwa sana atazaliwa mtoto wa kiume kwasababu yai litakuwa tayari kwenye mirija ya kurutubishia likiwa linasubiri mbegu za kiume.
Kumbuka male gamet za YY zina mbio zaidi ya zile za mbegu za kiume za XX.

Je tar 20 hatapata mimba? Jibu ni kuwa ukiwahi zaidi atapata kwasababu yai la kike linaishi kwa mda wa saa 36 hivyo ukiwahi kabla mda huo haujaisha basi utapata mtoto dume ila ukichelewa yai la kike XX litakuwa limekufa.

Vip kwa mtoti wa kike?

Tar 17 jan.hapati mimba? Jibu ni kuwa atapata kwa kuwa mbegu za kiume XX na YY zitakuwa hai hadi tar 18.

Je tar.16? Atapata kwa kuwa mbeguu XX na YY zitakuwa bado hai hadi tar 18 Jan.

Sasa vip tar 15? Atapata mtoto na uwezekano mkubwa ni mtoto wa kike kwasababu hadi tar.18 mbegu za kiume YY zitakuwa zimepitisha mda wake wa uhai yaani saa 48 na kuziacha mbegu XX peke yake zikijivinjari.

Tar 14 kama ilivyo tar 21 ni siku ya tahadhari tu lakini uwezekano ni mdogo sana.

XX zinaishi mda mrefu ila mbio kidogo na YY mbio sana lakini maisha mafupi.

So hesabu siku 14 toka hedhi ya mke wako,tar itakayoangukia ukiongeza siku 2 toka tar hiyo siku ya 14 ilipodondokea mda wa usiku wa siku ile ya 14 basi utapata dume na siku inayofuata mda wowote.

Na ukipunguza siku 3 toka siku ya 14 inapodondokea then ukutane na mwenza wako basi mtoto jike anaweza kuja....cheza tu na life span ya yai la kike na life span ya mbegu XX na YY basi

Karibu
Nice analysis
 
Mkuu umejibu sawa kabisa.
 
Pia anatakiwa atumie mikao haswa ya mwanamke akiwa amenyanyua kiuno au chuchu...... mikao hii huisogeza mirija ya uza karibu zaid na mzee hivyo mbegu za kiume ni rahisi kufika kwa haraka kama tulivyoona kasi yake ya kusafiri
You mean our beloved missionary position aka kifo cha mende right?
 
Ata watoto wa kike co mbaya ila kiongoz wa family ni mtoto wakiume pia ata ukiwa nao 20 wa kike angarau 1 wakiume awepo pia
 
Back
Top Bottom