Afanyaje kuondoa mabaka usoni

Afanyaje kuondoa mabaka usoni

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
237
Wandugu habari zenu.

Mke wangu ana mabaka meusi usoni, aliyapata kipindi akiwa na ujauzito yapata miaka mitatu sasa. Amehangaika sana kuyaondoa lakini wapi. Hajawahi kutumia cream yoyote. Na anatumia lotion ya nivea tu.

Atumie dawa gani au mafutagani ili aweze kuyaondoa?
 
Ajitaid kutafuta mafuta ya olives(yenyewe kwan kuna fake) yatamsaidia ni tiba nzur sana ya magonjwa ya ngoz kama hayo
 
Back
Top Bottom