Wandugu habari zenu.
Mke wangu ana mabaka meusi usoni, aliyapata kipindi akiwa na ujauzito yapata miaka mitatu sasa. Amehangaika sana kuyaondoa lakini wapi. Hajawahi kutumia cream yoyote. Na anatumia lotion ya nivea tu.
Atumie dawa gani au mafutagani ili aweze kuyaondoa?