masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Kuna mtu wadau anaomba ushauri maziwa ya mpenzi wake yamekuwa yameteepeta(sijui kama hiki ni kiswahili kizuri) anataka yawe magumu magumu sasa yeye katika pita pita akakutana na hii njia ya asili.
"Unachukua jiwe dogo unaliweka kwenye figa (kama unatumia gesi hapo sijui yeye kasema figa so am sure anapikia mafiga) usiku linakaa hadi asubuhi unalitoa unaliweka kwenye maziwa kwa dakika kadhaa then unaenda kusimama ukutani unayaminyia/kuyqkutanisha na ukuta mpaka ule moto upoe kila siku asubuhi" utafanya hivyo kila siku mpaka uone matokeo
Swali lake: Je, kuna mtu ashawahi kutumia hiyo njia ikampa mafanikio?
Swali la pili: Atumie njia gani basi?
Msaada kwake wakuu.