Afanyaje maziwa yake yawe madogo kwa njia ya asili?

Afanyaje maziwa yake yawe madogo kwa njia ya asili?

maziwa yangu madogo sana mguu na nina mwili uliogawanyika vyema na kama unaweza ku refer kuna uzi nilishaomba namna ya kuongeza maziwa bila mchina

hey toa ushauri kwa muhusika

mbona kama promo kidizain fulan...
 
alafu najua itafikia wakati yatalala ie nikianza kunyonyesha KWANI YA MAMAAKO SIO NDALA 😂😂😂😂😂😂😂😂

Heshimuni mama zetu! nakereka kusikia haya maneno "ya mamako sio ndala" kwani mamako asingekuzaa wewe angekuwa ndala? umeyavuta mwaka mzima kwa kunyonya, umeharibu urembo wake sasahivi bila aibu unatamka ndala!
Mkue basi!
 
ujaona hiyo coment hapo juu nani kaanza na hilo neno la ndala????

hhahaah unaemtukana huyo nae anaweza aakawa mama wa mtu vile vile
 
ujaona hiyo coment hapo juu nani kaanza na hilo neno la ndala????

hhahaah unaemtukana huyo nae anaweza aakawa mama wa mtu vile vile

Hakuna tusi ktk statement yangu! nimesema tu mothers waheshimiwe! nao walikuwa vijana kama sisi kabla hawajazaa! hivyo yaaan
 
Hakuna tusi ktk statement yangu! nimesema tu mothers waheshimiwe! nao walikuwa vijana kama sisi kabla hawajazaa! hivyo yaaan

sijasema kwenye coment yako na wewe hata uelewi aaaarrrg

rudi hapo juu agalia ni nani kaanza na neno ndala mi nimefanya kucopy tu naona umekaa kooni
 
No woman should go around feeling like her world has come to an end. Boob jobs should be a woman's gift to herself after the stage of motherhood. I mean the nursing part.
Njia nyepesi na ya uhakika ni operesheni
ya kupunguza matiti na kuyasimamisha
maarufu inaitwa 'boob job'
hii kwa nchi za ulaya ni very cheap na very safe
sio ile ya plastic surgery....boob job kuna nchi hadi dollar 600 tu inafanyika
sijajua Tz iko vipi
but nina guess nchi kama Kenya ,South Africa inafanyika na sio ghali sana
 
dah...mpaka leo hzo imani zipo....Anatomy disiorder aiwezi ondolewa kwa njia za imani kama izo...........!!!
 
kuna mtu wadau anaomba ushauri maziwa ya mpenzi wake yamekuwa yameteepeta(sijui kama hiki ni kiswahili kizuri) anataka yawe magumu magumu sasa yeye katika pita pita akakutana na hii njia ya asili
"unachukua jiwe dogo unaliweka kwenye figa (kama unatumia gesi hapo sijui yeye kasema figa so am sure anapikia mafiga) usiku linakaa hadi asubuhi unalitoa unaliweka kwenye maziwa kwa dakika kadhaa then unaenda kusimama ukutani unayaminyia/kuyqkutanisha na ukuta mpaka ule moto upoe kila siku asubuhi" utafanya hivyo kila siku mpaka uone matokeo

Swali lake je kuna mtu ashawahi kutumia hiyo njia ikampa mafanikio
swali la pili atumie njia gani basi
msaada kwake wakuu

Mpaka moto upoe si ataungua..!!
 
No woman should go around feeling like her world has come to an end. Boob jobs should be a woman's gift to herself after the stage of motherhood. I mean the nursing part.

TZ watu wengi wakisikia operesheni wanafikiri
ni 'plastic surgery ' au kumkosoa mungu
hapo ndo pagumu kuwaelewesha
 
Hakuna njia ya kurejesha maziwa (matiti) kwenye hali yake ya awali. Kinacho sababisha maziwa kushuka yaani kupwaya ni kunyonyesha. Na kamwe huwezi kurudisha kwenye hali yake ya awali japo kuna dawa inayotokana na majani ya mti fulani ambayo hupakwa hadi yanakuwa magumu (saa6) lakini siku hizi hii dawa haifanyi kazi kutokana na marashi/ mafuta za kuchua ngozi, mafuta zenye kemikali nk
 
TZ watu wengi wakisikia operesheni wanafikiri
ni 'plastic surgery ' au kumkosoa mungu
hapo ndo pagumu kuwaelewesha

Watakua wanaichanganya na ya kuweka zile implants za gel.

Wangejua tu kwamba ni operation ambayo inaleta most satisfying results to women wangeikimbilia.
 
Back
Top Bottom