Afanyaje maziwa yake yawe madogo kwa njia ya asili?

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Kuna mtu wadau anaomba ushauri maziwa ya mpenzi wake yamekuwa yameteepeta(sijui kama hiki ni kiswahili kizuri) anataka yawe magumu magumu sasa yeye katika pita pita akakutana na hii njia ya asili.

"Unachukua jiwe dogo unaliweka kwenye figa (kama unatumia gesi hapo sijui yeye kasema figa so am sure anapikia mafiga) usiku linakaa hadi asubuhi unalitoa unaliweka kwenye maziwa kwa dakika kadhaa then unaenda kusimama ukutani unayaminyia/kuyqkutanisha na ukuta mpaka ule moto upoe kila siku asubuhi" utafanya hivyo kila siku mpaka uone matokeo

Swali lake: Je, kuna mtu ashawahi kutumia hiyo njia ikampa mafanikio?

Swali la pili: Atumie njia gani basi?

Msaada kwake wakuu.
 

bila shaka hilo litakuwa ziwa lako umekuj na gea ya mtu mwengine
 
Nafahamu kila siku asubuhi unakutanisha kifua chako na ukuta unaforce au kuyagandamiza ukutani kwa nguvu
 
bila shaka hilo litakuwa ziwa lako umekuj na gea ya mtu mwengine

maziwa yangu madogo sana mguu na nina mwili uliogawanyika vyema na kama unaweza ku refer kuna uzi nilishaomba namna ya kuongeza maziwa bila mchina

hey toa ushauri kwa muhusika
 
Njia nyepesi na ya uhakika ni operesheni
ya kupunguza matiti na kuyasimamisha
maarufu inaitwa 'boob job'
hii kwa nchi za ulaya ni very cheap na very safe
sio ile ya plastic surgery....boob job kuna nchi hadi dollar 600 tu inafanyika
sijajua Tz iko vipi
but nina guess nchi kama Kenya ,South Africa inafanyika na sio ghali sana
 

Mzazi Kaingiaje Hapa Mkuu?
 
hahaha naomba mwarabu113 mpm huyu jamaa atakusaidia plz
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…