Afanyaje maziwa yake yawe madogo kwa njia ya asili?

maziwa yangu madogo sana mguu na nina mwili uliogawanyika vyema na kama unaweza ku refer kuna uzi nilishaomba namna ya kuongeza maziwa bila mchina

hey toa ushauri kwa muhusika

mbona kama promo kidizain fulan...
 
alafu najua itafikia wakati yatalala ie nikianza kunyonyesha KWANI YA MAMAAKO SIO NDALA 😂😂😂😂😂😂😂😂

Heshimuni mama zetu! nakereka kusikia haya maneno "ya mamako sio ndala" kwani mamako asingekuzaa wewe angekuwa ndala? umeyavuta mwaka mzima kwa kunyonya, umeharibu urembo wake sasahivi bila aibu unatamka ndala!
Mkue basi!
 
ujaona hiyo coment hapo juu nani kaanza na hilo neno la ndala????

hhahaah unaemtukana huyo nae anaweza aakawa mama wa mtu vile vile
 
ujaona hiyo coment hapo juu nani kaanza na hilo neno la ndala????

hhahaah unaemtukana huyo nae anaweza aakawa mama wa mtu vile vile

Hakuna tusi ktk statement yangu! nimesema tu mothers waheshimiwe! nao walikuwa vijana kama sisi kabla hawajazaa! hivyo yaaan
 
Hakuna tusi ktk statement yangu! nimesema tu mothers waheshimiwe! nao walikuwa vijana kama sisi kabla hawajazaa! hivyo yaaan

sijasema kwenye coment yako na wewe hata uelewi aaaarrrg

rudi hapo juu agalia ni nani kaanza na neno ndala mi nimefanya kucopy tu naona umekaa kooni
 
No woman should go around feeling like her world has come to an end. Boob jobs should be a woman's gift to herself after the stage of motherhood. I mean the nursing part.
 
dah...mpaka leo hzo imani zipo....Anatomy disiorder aiwezi ondolewa kwa njia za imani kama izo...........!!!
 
Mpaka moto upoe si ataungua..!!
 
mwambie anitafute nimfanyishe mazoezi
 
No woman should go around feeling like her world has come to an end. Boob jobs should be a woman's gift to herself after the stage of motherhood. I mean the nursing part.

TZ watu wengi wakisikia operesheni wanafikiri
ni 'plastic surgery ' au kumkosoa mungu
hapo ndo pagumu kuwaelewesha
 
Asante sana!
Mie mjuzi jikoni hadi usafi chumbani

Itabidi Nikukodi Japo Kwa Siku Ili Unifanyie Usafi Maana Uzuri Wa nyumba Ni Usafi Kama Choo Tutaenda Kwa jirani
 
Hakuna njia ya kurejesha maziwa (matiti) kwenye hali yake ya awali. Kinacho sababisha maziwa kushuka yaani kupwaya ni kunyonyesha. Na kamwe huwezi kurudisha kwenye hali yake ya awali japo kuna dawa inayotokana na majani ya mti fulani ambayo hupakwa hadi yanakuwa magumu (saa6) lakini siku hizi hii dawa haifanyi kazi kutokana na marashi/ mafuta za kuchua ngozi, mafuta zenye kemikali nk
 
TZ watu wengi wakisikia operesheni wanafikiri
ni 'plastic surgery ' au kumkosoa mungu
hapo ndo pagumu kuwaelewesha

Watakua wanaichanganya na ya kuweka zile implants za gel.

Wangejua tu kwamba ni operation ambayo inaleta most satisfying results to women wangeikimbilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…