Afariki dunia akijaribu kutoa ujauzito

Aiseee!
Haya mambo yanahuzunisha.


Binti ukipata mimba ni heri uvumilie uzae tu
Kutoa mimba ni kuweka rehani maisha.
 
Sema contraceptives miyayusho sana
 
Umri huo kwa watoto wa kike ni hatari sana,ukiona mwanao kapita hapo mpk kafikia level ya chuo shukuru Mungu,vishawishi ni vingi sana,sasa hivi kuna boda boda,wanafunzi wenzie,mibaaazazi mijitu mizima nayo imo,ni shida kwakweli...
Yaani hili Rika ndo rahs sana kushawishika wengi mIsha Yao yanaharibika hapa
 
Heeee bora ukimwi kuliko mimba 😅😅😅hi kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…