Tetesi: Afariki dunia kwa kuchezea pistol yake!

Tetesi: Afariki dunia kwa kuchezea pistol yake!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
View attachment 396708maelezo Kama yalivyo tolewa tatika picha hapo juu kwamba huyo baba hapo juu kapatwa na majanga walipokuwa wanafanya mchezo na hiyo pisto walioko karibu na tukio watatujuza zaidi kuhusiana na tukio hilo!
 
Sio lazima uwahi kufungua au kuanzisha thread kama hauna habari kamili. Kichwa cha kinaonyesha hauna uelewa na hiyo taarifa. Watu wako Obay PD wanaandika statement.....wakimaliza watakuja kukusahihisha. Marehemu hakuwa anachezea pisto kama ulivyoiweka.
 
Hii habari ni kweli au ?maan nimeona kichwa cha habari na jina nimeshutuka sn mm nipo mbali sn jina hili Mwakitwang ni yupi najari kutafuta no ya simu yk sion plzzz hebu nipe detail plzzz
 
Mwenye habari kamili alete au mfte kabisa Uzi mtaanzisha mkishapata habari kamili
 
RIP Abba Mwakitwange
IMG-20160909-WA0086.jpg
 
Hii habari ni kweli au ?maan nimeona kichwa cha habari na jina nimeshutuka sn mm nipo mbali sn jina hili Mwakitwang ni yupi najari kutafuta no ya simu yk sion plzzz hebu nipe detail plzzz
Ni habari ya kweli mkuu. Huyo mshikaji anaitwa Abba Mwakitwange. Its an unfortunate accident.
 
Hivi vifo vinamaswali mengi, kuna yule mwingine walisema alikuwa anaing'arisha silaha ikampiga huyu wa leo alikuwa anaichezea
 
Mhuuu,inawezekana kashutiwa,aliyemshoot anajitetea sa sa,Polisi wafanye kazi yao
Sidhani kama kulikuwa na tendo ovu au kudhamiria kwa sababu wote walikuwa marafiki kwenye tukio. Watu wako kwenye hekaheka za Polisi na Msiba.....baadae utapata taarifa kamili mkuu.
 
Si kweli marehem alimoa bastola rafiki yake kumbe kasahau risasi kwa chamber
 
Ohooooo... Tena??? Yale yale ya yule prof wa udsm...
 
Sisi wa huku ushetu hata hatujui tu kinachoendelea hapa
 
Hii habari ni kweli au ?maan nimeona kichwa cha habari na jina nimeshutuka sn mm nipo mbali sn jina hili Mwakitwang ni yupi najari kutafuta no ya simu yk sion plzzz hebu nipe detail plzzz
ABBA Mwakitwange
 
Back
Top Bottom