Tetesi: Afariki dunia kwa kuchezea pistol yake!

RIP Abba Mwakitwange. Hebu fikiria tu pengine tangu aimiliki Hiyo silaha hajawahi hata kuitumia mwe ! Mwe! Ejooooo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Na hizi kauli tata za " Mahaba Niue " Jamani zisizoeleke Sana hazijakaa vizuri ikumbukwe kuwa ulimi huumba matukio . Kataa Hii kauli mwana JF utakufa kweli shauri yako [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mungu amrehemu,show off imemcost,katoa magazine kumbe risasi iko kwenye chamber,somebody Gloria kamlenga kimzaha risasi ikatoka-jamaa alikuwa type kabisa ya le mutuz,mzee kijana
 
Bastola au bunduki yeyote si kitu cha kuzoeleka.

Nakumbuka mara ya kwanza kushika ya Kaka yangu, aliniagiza nimpelekee Mji mpya aliohamia. Nilichukua tahadhari kubwa isiyokuwa na mfano!

Huwa nashangaa sana Vijana hasa wanaokaa maeneo wanayoyaita ya kishua kutembea na bastola sehemu za starehe. Na kwa hakika sijawahi kuona Kijana yeyote bastola ikimsaidia katika tukio lolote zaidi ya kuleta balaa.

Tena hawa Vijana wa Dar ambao wakiskia risasi ya jambazi mtaa wa pili wanajificha uvunguni wakati wana mashine ndani!!
 
RIP Abba Mwakitwange. Hebu fikiria tu pengine tangu aimiliki Hiyo silaha hajawahi hata kuitumia mwe ! Mwe! Ejooooo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Na hizi kauli tata za " Mahaba Niue " Jamani zisizoeleke Sana hazijakaa vizuri ikumbukwe kuwa ulimi huumba matukio . Kataa Hii kauli mwana JF utakufa kweli shauri yako [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aisee hapa umeniacha ubungo kwenye mataa ,"mahaba niue" ? Huku tena kajipiga risasi ,naomba nisaidie kufafanua
 
Mungu amrehemu,show off imemcost,katoa magazine kumbe risasi iko kwenye chamber,somebody Gloria kamlenga kimzaha risasi ikatoka-jamaa alikuwa type kabisa ya le mutuz,mzee kijana
Wee angalau umeifafanua hii habari na kueleweka kidogo,lakini wengine wote pamoja na mleta uzi hata sikuwaelewa.
 
Back
Top Bottom