whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Aisee hapa umeniacha ubungo kwenye mataa ,"mahaba niue" ? Huku tena kajipiga risasi ,naomba nisaidie kufafanuaRIP Abba Mwakitwange. Hebu fikiria tu pengine tangu aimiliki Hiyo silaha hajawahi hata kuitumia mwe ! Mwe! Ejooooo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Na hizi kauli tata za " Mahaba Niue " Jamani zisizoeleke Sana hazijakaa vizuri ikumbukwe kuwa ulimi huumba matukio . Kataa Hii kauli mwana JF utakufa kweli shauri yako [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Wee angalau umeifafanua hii habari na kueleweka kidogo,lakini wengine wote pamoja na mleta uzi hata sikuwaelewa.Mungu amrehemu,show off imemcost,katoa magazine kumbe risasi iko kwenye chamber,somebody Gloria kamlenga kimzaha risasi ikatoka-jamaa alikuwa type kabisa ya le mutuz,mzee kijana