Afariki katika ugomvi wa kugombea simu ya marehemu

Mtu mmoja alieyefahamika kwa jina la Mwidini SaidI (30) Mkazi wa Kitongoji cha Kitumbini, Kata ya Kivinje Wilayani Kilwa Mkoani Lindi amefariki mara baada ya kupigwa na kitu kizito Kichwani walipokuwa wanagombea simu ya marehemu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, ACP Mtatiro Kitinkwi amesema tukio hilo limetokea Juni 27, 2022 majira ya saa nne asubuhi ambapo marehemu alipigwa na watu wawili na mtuhumiwa mmoja aliyejulikana kwa jina la Ally Kilingo (29) anashikiliwa na jeshi hilo huku mtuhumiwa wa pili akiendelea kutafutwa.

Kitinkwi ameeleza kuwa ripoti ya hospitali imeonesha damu ilivuja kwa ndani ya fuvu la kichwa kisha kuchanganyika na ubongo.

Source: Mashujaa FM

Huenda marehemu mwenye simu alikasirika
 
Kaenda kumuuliza Marehemu nani anastahili kuimiliki hiyo simu
 
Aisee! Yaani alipigwa na kitu kizito kichwani!

Apumzike mahali panapostahili
.
 
Km kawa asee
Mohamed na mwamedi
Muhidin na mwidini
Muharrami na mwalami
Hawa wa "mw" ni wale choka mbaya always.
Usikute wewe mwenyewe una hali ngumu lakini unajifariji kwa kuwasifia wengine kwa vile tu wapo upande wako,nyie ndio mnaopenda kujisifu kuwa kabila fulani tumesoma sana huku mwenyewe unasukuma kokoteni ndio ule.
 
Back
Top Bottom