Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeappload chap google ndo unatutumia[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwamba huyu hapa
Wasomi wa CUBA tu ndio watakuelewaTutawapendaga na vitambi vyenu nyie msiombe pesa tu
Kwamba hamna puto ama?Kakidanganya nan [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm napenda vitambi Kichizi Yan sijui wanafeli wapi. Ujue kitambi mda wa mnyanduano kina respond flani hiv mpka raha walahiHabarini
Mojawapo ya tatizo linalosumbua wadada hasa wa mjini ni matumbo makubwa,kuna muuguzi amefariki tu kisa kujaribu kupunguza tumbo.Kwahiyo wale wadada wenye viribatumbo please nawashauri mpende uumbaji wa Mungu.
Hata sisi wanaume tuwapende bas hawa wenzetu,wataolewa na nani jaman tukiwatenga
Source:
Millard ayo
The New York post
======
Jarida la The New York Post, limeripoti kuwa Muuguzi mmoja kutokea Nchini Mexico amefariki baada ya kukutwa akiwa amepoteza fahamu katika Ofisi ya Daktari baada ya kujaribu kujifanyia upasuaji wa kupunguza tumbo.
Daktari Rolando Samper Mendoza, ambaye ni Mmiliki wa Hospitali hiyo iitwayo ‘Clinica Amper’ ya Mexico amesema Mwanamke huyo alijichoma sindano ya ganzi ili kujifanyia upasuaji huo ambao hana nao ujuzi wala uzoefu wowote.
Muuguzi huyo alifariki kwa kupata mshtuko wa moyo muda mfupi baada ya kukutwa na Mfanyakazi mwenzake ambaye aliwapa taarifa Wahudumu wa afya na kujaribu kumsaidia.
Mwanamke huyo ambaye ametambuliwa kwa jina la Carina, alijaribu kutekeleza upasuaji huo ili kupunguza tumbo lake Hospitalini hapo, kitendo ambacho kilisababisha Muuguzi huyo kujichoma kiasi kikubwa cha ganzi ambayo ilimsababishia madhara.
![]()
We unadhibitije kula vitu vizuri? Yani mtu na hela zake ale mlenda? 🤣Tumbo mara nyingi ni ulaji wa nyama , vinywaji vya sukari, chipsi kuku , ukidhibiti haya huwez ona tumbo
Habarini
Mojawapo ya tatizo linalosumbua wadada hasa wa mjini ni matumbo makubwa,kuna muuguzi amefariki tu kisa kujaribu kupunguza tumbo.Kwahiyo wale wadada wenye viribatumbo please nawashauri mpende uumbaji wa Mungu.
Hata sisi wanaume tuwapende bas hawa wenzetu,wataolewa na nani jaman tukiwatenga
Source:
Millard ayo
The New York post
======
Jarida la The New York Post, limeripoti kuwa Muuguzi mmoja kutokea Nchini Mexico amefariki baada ya kukutwa akiwa amepoteza fahamu katika Ofisi ya Daktari baada ya kujaribu kujifanyia upasuaji wa kupunguza tumbo.
Daktari Rolando Samper Mendoza, ambaye ni Mmiliki wa Hospitali hiyo iitwayo ‘Clinica Amper’ ya Mexico amesema Mwanamke huyo alijichoma sindano ya ganzi ili kujifanyia upasuaji huo ambao hana nao ujuzi wala uzoefu wowote.
Muuguzi huyo alifariki kwa kupata mshtuko wa moyo muda mfupi baada ya kukutwa na Mfanyakazi mwenzake ambaye aliwapa taarifa Wahudumu wa afya na kujaribu kumsaidia.
Mwanamke huyo ambaye ametambuliwa kwa jina la Carina, alijaribu kutekeleza upasuaji huo ili kupunguza tumbo lake Hospitalini hapo, kitendo ambacho kilisababisha Muuguzi huyo kujichoma kiasi kikubwa cha ganzi ambayo ilimsababishia madhara.
![]()
😁😁😁We unadhibitije kula vitu vizuri? Yani mtu na hela zake ale mlenda? 🤣
Hebu acheni ujinga basi
Kuna cha kucheka hapo ama kufurahisha?