Afariki kwa kudaiwa kupigwa na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na Askari wa Jeshi la akiba

Afariki kwa kudaiwa kupigwa na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na Askari wa Jeshi la akiba

Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa pamoja na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na askari wa jeshi la akiba katika ofisi ya Mtendaji wa kijiji hicho ambako alikuwa ameshikiliwa na mtendaji wa kijiji hicho kwa tuhuma za kupigana na mwenzake.

Screenshot_20241003-181120.jpg
 

Attachments

  • #DriveShow- Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) am...mp4
    5.8 MB
Bado taarifa tata askari wa akiba mmoja anawezaje kukuingizia mti au mtendaji naye alishiriki
 
Back
Top Bottom