Aliyekuwa diwani wa Kata ya Mahuninga amefariki dunia siku chache baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama chake cha Mapinduzi (CCM), kuwania nafasi hiyo kwa mara nyingine.
Kisogole, alikuwa diwani wa Mahuninga katika Tarafa ya Idodi, mkoani Iringa na amefariki dunia jana Ijumaa Julai 4, 2025 nyumbani kwake katika Kijiji cha Mahuninga
Ofisa Tarafa wa Idodi, Makala Mapesa amesema marehemu alihumu kwenye nafasi hiyo kwa vipindi viwili mfululizo kuanzia mwaka 2015 hadi 2020 na 2020 na 2025
Chanzo:Mwananchi_official