Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Labda tusubiri penati. Mpaka sasa hali ni mbaya. Mungu ingilia kati hii ishu ya Yanga
Tshishimbiiiiiii!!๐ฃ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda tusubiri penati. Mpaka sasa hali ni mbaya. Mungu ingilia kati hii ishu ya Yanga
Hizi ndio kauli zako sasa Mtani!!!Labda tusubiri penati. Mpaka sasa hali ni mbaya. Mungu ingilia kati hii ishu ya Yanga
Haijalishi Mtani. ๐๐๐Yanga ni Njombe mji iliyochangamka.
๐๐๐๐ inamaana hii quote OKW BOBAN SUNZU hakuiona kweli. ๐๐๐Tshishimbiiiiiii!!๐ฃ
Sijui kwa nini kuna saa hili swali linakuwa gumu. ๐๐๐Vipi matokeo?
Kuna wakati nakukubali sana, kwa kuwa kwenye ukweli huwa hupindishi maneno.TUMESHINDA MECHI YA JANA ILA WASHAMBULIAJI BADO KWETU NI CHANGAMOTO.
Sina neno mtani umeniziba mdomo ๐๐Haijalishi Mtani. ๐๐๐
Na hii ndio imefanya mpaka sasa sijaona zile kauli za watani zangu Tui na Khaligraph Jordan. Mana wana kauli zao sijui Yanga ni Mbute nini vile. Teh teh.
Ingekuwa tumefungwa mbona ningewaona hapa Mtani tena kwa wingi wenu ule ule ninaoujua na povu juu. ๐๐๐๐๐Sina neno mtani umeniziba mdomo ๐๐
Nakulia timing tu wiki hii utakuwa Gaberone kwenye uwanja wa Taifa la Botswana wameanzisha kampeni yao ya kujaza uwanja wanasema.Ingekuwa tumefungwa mbona ningewaona hapa Mtani tena kwa wingi wenu ule ule ninaoujua na povu juu. ๐๐๐๐๐
Hahahaaa!!! Mtihani ni pale sisi tutakaposonga halafu nyie mkabaki mmeduwaa.Nakulia timing tu wiki hii utakuwa Gaberone kwenye uwanja wa Taifa la Botswana wameanzisha kampeni yao ya kujaza uwanja wanasema.
.
#TlatsaLebala yani Tuujaze uwanja na mimi nasemaje Popa the blues ๐๐
Jamani Mtani. Mbona goli ndio lilianza.Mtani Shadeeya umemsikia Zahera ? Hata jana mambo yalikuwa magumu ilibidi refa awe mzalendo amtoe mchezaji wa AFC Leopards kwa kadi nyekundu .Wakawa pungufu .I rest my case.
Mkivuka nipigwe ban takatifuHahahaaa!!! Mtihani ni pale sisi tutakaposonga halafu nyie mkabaki mmeduwaa.
Hapatatosha hapa Mtani. ๐๐๐๐
Mimi Simba ila nachukizwa na dharau hizi za Zahera kwa uongozi wa YangaTuna mchezo mgumu na muhimu wa marudiano dhidi ya Township Rollers.
"Nahitaji muda kuiandaa timu lakini tunakuja kupoteza muda huku Moshi na Arusha.
"Tumecheza na Polisi kisha AFC katika viwanja vibovu hakuna jambo la maana tulilofaidika nalo hii ziara tungeweza kuifanya muda mwingine sio huu" amesema Zahera baada ya mchezo wa jana dhidi ya AFC Leopa