AFCON 2019: Hatuna referee au msaidizi hata mmoja

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,296
Reaction score
18,027
Ujio was AFCON umedhirihisha ukweli mchungu. Hatuna waamuzi wa viwango.

Tunao wabovu au wapokea maagizo ya TFF.

Kenya angalau wana refa na msaidizi mmoja. Uganda yupo msaidizi mmoja. Rwanda na Burundi zina refa mmoja mmoja.

Tunakwama wapi? Wapi Sasi? Wapi Jonesia?
 
Wamchukue Kambuzi?😁😁😁
 
Sisi kwenye mambo mengi tu huwa hatajumuishwi.

Tupotupo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…