Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Tunao wabovu au wapokea maagizo ya TFF.
Kenya angalau wana refa na msaidizi mmoja. Uganda yupo msaidizi mmoja. Rwanda na Burundi zina refa mmoja mmoja.
Tunakwama wapi? Wapi Sasi? Wapi Jonesia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo kubwa liko hapoMiamala ndugu inatulemazaView attachment 1119834
Wamchukue Kambuzi?😁😁😁View attachment 1119816Ujio was AFCON umedhirihisha ukweli mchungu. Hatuna waamuzi wa viwango.
Tunao wabovu au wapokea maagizo ya TFF.
Kenya angalau wana refa na msaidizi mmoja. Uganda yupo msaidizi mmoja. Rwanda na Burundi zina refa mmoja mmoja.
Tunakwama wapi? Wapi Sasi? Wapi Jonesia?
Sisi kwenye mambo mengi tu huwa hatajumuishwi.View attachment 1119816Ujio was AFCON umedhirihisha ukweli mchungu. Hatuna waamuzi wa viwango.
Tunao wabovu au wapokea maagizo ya TFF.
Kenya angalau wana refa na msaidizi mmoja. Uganda yupo msaidizi mmoja. Rwanda na Burundi zina refa mmoja mmoja.
Tunakwama wapi? Wapi Sasi? Wapi Jonesia?