Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Nawasabahi sana!
Naangalia game ya mwisho kati ya SA v MOROCCO, upande wa pili kuna game ya NAMIBIA v IVORY COAST!
Kadri ya game zinavoendelea, kuna matukio ya game ya upande wa pili inaletwa ktk small screen display ya game ya Morocco v SA, mf kama ilivoonyeshwa goli la dk 39 la Ivory Coast dhidi ya Namibia!
Naomba kujua hii technology ni ya Azam ama ni kituo cha Tv wanapochukulia matangazo Azam Tv?
Leo nipo Algeria