Tayari Kenya na Uganda wamefuzu...vile vile majirani zetu wa Burundi nao wamefuzu jana...kazi kwetu sisi leo jioni tukaze buti....endapo tutashindwa kufuzu itakuwa ni aibu ya mwaka kwani mashindano mara hii yamerahisishwa kwa kuongeza wigo wa idadi ya timu shiriki na ndio maana unaona kwa mara ya kwanza ukanda wa Afrika Mashariki umeweza kuingiza timu tatu mpaka sasa (jambo ambalo si kawaida).....