AFCON 2019: Mpaka wakati huu timu zoote za Afrika Mashariki zimeshafuzu isipokuwa Tanzania...

Tayari Kenya na Uganda wamefuzu...vile vile majirani zetu wa Burundi nao wamefuzu jana...kazi kwetu sisi leo jioni tukaze buti....endapo tutashindwa kufuzu itakuwa ni aibu ya mwaka kwani mashindano mara hii yamerahisishwa kwa kuongeza wigo wa idadi ya timu shiriki na ndio maana unaona kwa mara ya kwanza ukanda wa Afrika Mashariki umeweza kuingiza timu tatu mpaka sasa (jambo ambalo si kawaida).....
kwenye imani ya dini inadaiwa Mungu ndie mgawaji. Mangapi tumepewa, eg longo longo ya wanasiasa, ufisadi wa kutisha uchaguzi zikaribiapo, etc etc, ambayo wako hawana?
 
AFCON imekuwa diluted sana vibonde wanafuzu, huko kuna hatari ya watu kuwa wanapigwa mabao mpaka tisa, kama sio kumi...
 
Tayari Kenya na Uganda wamefuzu...vile vile majirani zetu wa Burundi nao wamefuzu jana...kazi kwetu sisi leo jioni tukaze buti....endapo tutashindwa kufuzu itakuwa ni aibu ya mwaka kwani mashindano mara hii yamerahisishwa kwa kuongeza wigo wa idadi ya timu shiriki na ndio maana unaona kwa mara ya kwanza ukanda wa Afrika Mashariki umeweza kuingiza timu tatu mpaka sasa (jambo ambalo si kawaida).....
Rwanda je?
 
Jiwe ndo kiini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honestly naombea tupigwe maana tangu Bashite aingie kwenye kamati ya ushindi kwa staz kaleta mambo ya hovyo sana.

Dsm watu wanasubiria pombe za book book. Baahite hana vision kabisa

Tupigwe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda [emoji818]️

Kenya [emoji818]️

Burundi [emoji818]️

Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
We punga, huko sasa iv unawashwa tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda ✔️

Kenya ✔️

Burundi ✔️

Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
TUPIGWE TU shenzi type

Haya sasa tumeshafuzu. Linapokuja suala la nchi hakuna namna tutaungana pamoja na linapokuja suala la misisiem kujifanya yenyewe ndiyo iliyosababisha tufuzu, tutayashambulia kwa nguvu zote. Pongezi nyingi ni kwa wachezaji na benchi la ufundi na mwisho ni watanzania wote kwa ujumla wetu.
 
Back
Top Bottom