AFCON 2019: Mpaka wakati huu timu zoote za Afrika Mashariki zimeshafuzu isipokuwa Tanzania...

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
Tayari Kenya na Uganda wamefuzu...vile vile majirani zetu wa Burundi nao wamefuzu jana...kazi kwetu sisi leo jioni tukaze buti....endapo tutashindwa kufuzu itakuwa ni aibu ya mwaka kwani mashindano mara hii yamerahisishwa kwa kuongeza wigo wa idadi ya timu shiriki na ndio maana unaona kwa mara ya kwanza ukanda wa Afrika Mashariki umeweza kuingiza timu tatu mpaka sasa (jambo ambalo si kawaida).....
 
TUPIGWE TU shenzi type
 
Uganda ✔️

Kenya ✔️

Burundi ✔️

Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
 
Uganda ✔️

Kenya ✔️

Burundi ✔️

Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
 
Unaijua vizuri Afrika mashariki mkuu?!!!
 
Nchi ya Jiwe!
 
Uganda ✔️

Kenya ✔️

Burundi ✔️

Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
 
Uganda [emoji818]️

Kenya [emoji818]️

Burundi [emoji818]️

Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
Unayajua anayofanya nkuruzinza? Au leo bavicha mmesahau? Vipi kuhusu museven? Unayajua anayofanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…