kwenye imani ya dini inadaiwa Mungu ndie mgawaji. Mangapi tumepewa, eg longo longo ya wanasiasa, ufisadi wa kutisha uchaguzi zikaribiapo, etc etc, ambayo wako hawana?Tayari Kenya na Uganda wamefuzu...vile vile majirani zetu wa Burundi nao wamefuzu jana...kazi kwetu sisi leo jioni tukaze buti....endapo tutashindwa kufuzu itakuwa ni aibu ya mwaka kwani mashindano mara hii yamerahisishwa kwa kuongeza wigo wa idadi ya timu shiriki na ndio maana unaona kwa mara ya kwanza ukanda wa Afrika Mashariki umeweza kuingiza timu tatu mpaka sasa (jambo ambalo si kawaida).....
Tanzania ina hasara kubwa kubeba kiwiliwili hiki.Naomba tupigwe ili tuache kuchanganya siasa na soka
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hiyo kumbukumbu unayo ww tu!!? Bado kuna suala la goli difference, hadi muda huu wa wana -4 sisi -2, sasa watapitaje labda itokee wao washinde kwa tofauti mengi ya kufunga kuliko sisi.Kumbuken lesotho akishinda Tumefeli...
1-tushinde
2-lesotho apigwe
3-hapo ndo tutakua TUMEFUZU
Sent using Jamii Forums mobile app
Rwanda je?Tayari Kenya na Uganda wamefuzu...vile vile majirani zetu wa Burundi nao wamefuzu jana...kazi kwetu sisi leo jioni tukaze buti....endapo tutashindwa kufuzu itakuwa ni aibu ya mwaka kwani mashindano mara hii yamerahisishwa kwa kuongeza wigo wa idadi ya timu shiriki na ndio maana unaona kwa mara ya kwanza ukanda wa Afrika Mashariki umeweza kuingiza timu tatu mpaka sasa (jambo ambalo si kawaida).....
Burundi mbona kuna siasa za kibabe kuliko Tz na wamefuzu mkuu?Uganda ✔️
Kenya ✔️
Burundi ✔️
Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
Jiwe ndo kiini!Tayari Kenya na Uganda wamefuzu...vile vile majirani zetu wa Burundi nao wamefuzu jana...kazi kwetu sisi leo jioni tukaze buti....endapo tutashindwa kufuzu itakuwa ni aibu ya mwaka kwani mashindano mara hii yamerahisishwa kwa kuongeza wigo wa idadi ya timu shiriki na ndio maana unaona kwa mara ya kwanza ukanda wa Afrika Mashariki umeweza kuingiza timu tatu mpaka sasa (jambo ambalo si kawaida).....
Tunaongoza 3! Itabidi ujifunike blanketiHonestly naombea tupigwe maana tangu Bashite aingie kwenye kamati ya ushindi kwa staz kaleta mambo ya hovyo sana.
Dsm watu wanasubiria pombe za book book. Baahite hana vision kabisa
Tupigwe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sanaaaa, tumepitaaaaUganda [emoji818]️
Kenya [emoji818]️
Burundi [emoji818]️
Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
Unajisikiaje sasa hivi na hii post yako..Uganda ✔️
Kenya ✔️
Burundi ✔️
Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
Haya shangilia sasTUPIGWE TU shenzi type
Matokeo vipi ww punga?Naomba tupigwe ili tuache kuchanganya siasa na soka
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
We punga, huko sasa iv unawashwa tu!Uganda [emoji818]️
Kenya [emoji818]️
Burundi [emoji818]️
Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
Sudan siyo nchi ya ea. Ni south sudan ndiyoRwanda na sudan hawajafuzu mkuu
mkuu,kalipe deni la LIKUD aisee,anakudai nnya huko kama mlivyokubaliana.TUPIGWE TU shenzi type
Honestly naombea tupigwe maana tangu Bashite aingie kwenye kamati ya ushindi kwa staz kaleta mambo ya hovyo sana.
Dsm watu wanasubiria pombe za book book. Baahite hana vision kabisa
Tupigwe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uganda ✔️
Kenya ✔️
Burundi ✔️
Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
TUPIGWE TU shenzi type