Hawa ni wa kubutuliwa tu ......... kelele nyingiNa wafungwe tu.
Ni kweli Mkuu.. Nina msongo mkubwa wa mawazo.. Inakuaje Okwi afunge goli 2 alafu Samatta ashindwe kufunga hata moja.. Kipindi Clatous Chota Chama anakua man of the match Feisal anafanya nini uwanjani??? Msongo wa mawazo unazidi hapa Mkuu.Tanzania tunamashabiki mbumbumbu, na mashabiki maandazi kama alietoa hii post. Nahisi una msongo mkubwa wa mawazo, pole sana.
Sasa mbona hujamuongelea Manula. Ucheni ushabiki wa kitoto mnaboa sanaNi kweli Mkuu.. Nina msongo mkubwa wa mawazo.. Inakuaje Okwi afunge goli 2 alafu Samatta ashindwe kufunga hata moja.. Kipindi Clatous Chota Chama anakua man of the match Feisal anafanya nini uwanjani??? Msongo wa mawazo unazidi hapa Mkuu.
Ndo uache ushabiki maandaziSiku Taifa Stars inacheza.. Nilikua namuangalia Haruna na MK14.. Kwani Manula alianza??
Kama alivyo John PombeHii ndiyo maana halisi ya KUBWA JINGA.
NCHI KUBWA ILA NI NCHI LA KIBISA.
Mh John sio mwanamichezo sanaa.Kama alivyo John Pombe