AFCON 2019 round of 16 na maajabu yake

AFCON 2019 round of 16 na maajabu yake

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
742
Ktk tim 24 zilizoshiriki michuano hii tayar timu 16 zmeshapatikana, nchi za Africa Mashariki ni Uganda peke ake wamefuzu huku TZ, Kenya na Burundi zikitupwa benchi kisubir kuryd nchini mwao au kusalia kwa gharama zao sio za CAF

Jiran zetu Angola nao hawaba chao, DR Congo wamefuzu kwa njia ya best loser, kwa hiyo ukanda huu tuna tim mbil za kushabikia yaan Uganda na DRC

Magrupu mawili mepesi kati ya 6 katika round ya mtoano iliyoisha;
1. Group C ilipokuwa TZ na Kenya
2. Group E ilipokua Mali, Tunisia Angola na Mauritania

Wepesi huo ni kutokana na makundi hayo kutotoa mshindi wa tatu imara kuzidi makundi mengine


Timu 16 zilizofuzu hatua ya 16 bora zipo kwenye alphabetical order;
1.Algeria 2. Benin 3. Cameroon 4. DR Congo
5. Egypt 6. Ghana 7. Guinea 8. Ivory Coast
9. Madagascar 10. Mali 11. Morocco 12. Nigeria 13. Senegal 14. South Africa 15. Tunisia na Uganda

Pia timu 8 zilizotupa nje ya michuano zipo kwa alphabetical order;
1. Angolaa 2. Burundi 3. Guinea Bisau 4. Kenya 5. Mauritania 6. Namibia 7. Tanzania na Zimbabwe

Timu 4 zinazotabiriwa kuweza kutwaa ubingwa wa AFCON, 2019
1. Morocco 2. Ghana 3. Egypt 4. Algeria

Timu 4 zisizidhaniwa kutwaa ubingwa wa AFCON 2019 lakini zinaweza kuonesha maajabu na kutwa ubingwa
1. Senegal 2. Nigeria 3. Cameroon na 4. Ivory Cost

Round of 16 inataanza tarehe 05 hadi tareh 08 July 2019 kwa pair mbili kucheza kila siku
 
Piga uwa galagaza senegal atafika fainali na moja ya timu kutoka nchi za kiarabu. Pamoja na ayo Afcon ilikuwa aijaanza inaanza wiki hii.
 
AFCON BRACKET.png
 
Back
Top Bottom