Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Uzuri Kila kundi zinafuzu timu 2 zilizoshika nafasi za juu zitakuwa 12
Timu 4 zilizoshika nafasi 3 na wastani mzuri wa points na magoli zitafuzu Kama best Loser na kukamilisha timu 16
Timu 16 zitacheza play off kutafuta watakaoenda robo fainali(super 8)

Tanzania Ni kujipanga vizuri tu happy nafasi ya kufuzu ipo wametanua goli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala zima tushajua washindani wetu. Tuanze sasa kuwapeleleza nguvu zao na udhaifu wao. Tujipange kwa sayansi ya mpira. Details kocha na wahusika wengine wazifanyie kazi. Lengo iwe ni kutoa kipigo kwa wote sio kusema tunaenda kupata uzoefu! Ala!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Nimecheka sana...it means TZ ni underdog?


Samahanini lkn...
 
16 Bora hii

Tanzania
Misri
Uganda
Senegal
Nigeria
Morocco
Ivory coast
Cameroon
Ghana
Angola
Tunisia
Madagascar
Burundi
South Africa
Mali
Algeria

Kumbuka mwaka 2019 ni mwaka wa kimapinduzi katika MICHEZO...

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Uganda? Hawezi mfunga Egypt wala DR Congo labda Zimbabwe kidogo anaweza kumchallenge
Uganda yupo pagumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa DR Congo wanamchukulia poa kisa Zahera atakuwepo.
Trust me, hilo kundi ni Egypt ndo ana uhakika kwa kuwa yupo Nyumbani.
Ila AFCON isingekuwa hapo halafu Egypt akutane nao wote hao, ni win win situation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…