Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Tanzania kundi lake gumu sana aisee! Ila kuna watu ambao hawajui mpira watasema kapata mchekea kudadadeki magoli nane yapo nje nje
 
Senegal,Tanzania,Algeria na Kenya Group C Duuuuuuu
 
Safiii hapo ni mwendo wa3+ & both team to score no. Lazma gamblers tutajirike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…