game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Pumbavu kabisa hawa, na yule kocha afukuzwe arudi kwao Nigeria.Yaani Ile miumbwa ingeachwa huko huko isirudi Tanzania
Amakweli sie mpira tuachie wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu kabisa hawa, na yule kocha afukuzwe arudi kwao Nigeria.Yaani Ile miumbwa ingeachwa huko huko isirudi Tanzania
Amakweli sie mpira tuachie wenyewe
Kocha wetu nae hajui kitu na sura lake zito kama ngozi ya kiboko.H
Hamna timu kocha hana makosa wachezaji wenyewe hawajielewi
Sio siri jana nimelia kwakweli da!Zuwenna mbona hasira?
Kama Tumerogwa jamani na aliye turoga Kisha kufaWatanzania lazima tukae chini na kutafakari kwanini tunaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu miaka nenda miaka rudi,there must be something wrong some where!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kocha wetu nae hajui kitu na sura lake zito kama ngozi ya kiboko.
Jana Nimungu tu kaniambia nile kabla ya mpiraPumbavu kabisa hawa, na yule kocha afukuzwe arudi kwao Nigeria.
Wewe kweli mzalendo..Hongera sanaSio siri jana nimelia kwakweli da!
Yaani roho imeniuma kama nimefisha!!
Pole dada. Hio ndio hali ya mpira, kuna kushinda na kuna kushindwa. Pengine siku za usoni mtafua dafu.Sio siri jana nimelia kwakweli da!
Yaani roho imeniuma kama nimefisha!!
mpo mnashikilia mkia kwenye kundi lenu...ndio au la??Nilikua nahisi una ufahamu kuhusu ball kumbe ni mweupe! Umetumia kigezo gani ku conclude Tz imeshatupwa njee! Nahisi ata hujui msimamo wa kundi ulivyo unaropoka tu
umbeya pengine😀😀uchawi, uvivu
Kimahesabu bado tuna nafasi! Mechi ijayo tuki ifunga Cape verde tutakua na point 5, moja zaidi yao. Kama Kenya iki draw na Ethiopia Hapo Kasarani mtakua mmepata point 2 kwenye mechi 2 wakati Tz itakua imechukua point 3 kwenye mechi 2. Ila mkishinda ndiyo itakua vizuri kwenu.mpo mnashikilia mkia kwenye kundi lenu...ndio au la??View attachment 896930View attachment 896930nataka uniambie jinsi mtakavo qualify sababu wewe mwerevu sana
Umbeya na Majungu
safi...pamoja...good luck basi EA tufanikiwe by the wayKimahesabu bado tuna nafasi! Mechi ijayo tuki ifunga Cape verde tutakua na point 5, moja zaidi yao. Kama Kenya iki draw na Ethiopia Hapo Kasarani mtakua mmepata point 2 kwenye mechi 2 wakati Tz itakua imechukua point 3 kwenye mechi 2. Ila mkishinda ndiyo itakua vizuri kwenu.
Mimi linapo kuja swala la michezo huwaga na support E.A ili tuheshimike. CECAFA iweze kuheshimika inabidi iweze kuingiza ata timu 3. Nita watch game yenu niki waombea mema. Ila Tz bado ina chance siyo tu ku qualify ata kuongoza kundi.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Cape Verde Ipi? Wabongo Tuna Utani Sana kwenye vitu Serious [emoji23]Kimahesabu bado tuna nafasi! Mechi ijayo tuki ifunga Cape verde tutakua na point 5, moja zaidi yao. Kama Kenya iki draw na Ethiopia Hapo Kasarani mtakua mmepata point 2 kwenye mechi 2 wakati Tz itakua imechukua point 3 kwenye mechi 2. Ila mkishinda ndiyo itakua vizuri kwenu.
Mimi linapo kuja swala la michezo huwaga na support E.A ili tuheshimike. CECAFA iweze kuheshimika inabidi iweze kuingiza ata timu 3. Nita watch game yenu niki waombea mema. Ila Tz bado ina chance siyo tu ku qualify ata kuongoza kundi.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1]Kocha wetu nae hajui kitu na sura lake zito kama ngozi ya kiboko.