AFCON 2019: Timu ya taifa ya Cape Verde yailaza Tanzania magoli matatu kwa bila 3-0 XD

Ifikie hatua hawa wachezaji wa Taifa Stars wawe na walau elimu ya chuo maana naona wengi ni vilaza hata kuelewa waambiwacho ni kazi ngumu sana.


Michezaji haina uchungu na taifa kazi kuchekacheka kama malaya kwenye ndege na vipicha vya kinafiki, mbwa koko nyie tuwafuge vipi ili mjue tuna hamu na ushindi kila siku mnatudanga tu.


Mbwa.
 
Watanzania lazima tukae chini na kutafakari kwanini tunaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu miaka nenda miaka rudi,there must be something wrong some where!!
 
Nilikua nahisi una ufahamu kuhusu ball kumbe ni mweupe! Umetumia kigezo gani ku conclude Tz imeshatupwa njee! Nahisi ata hujui msimamo wa kundi ulivyo unaropoka tu
mpo mnashikilia mkia kwenye kundi lenu...ndio au la??nataka uniambie jinsi mtakavo qualify sababu wewe mwerevu sana
 
mpo mnashikilia mkia kwenye kundi lenu...ndio au la??View attachment 896930View attachment 896930nataka uniambie jinsi mtakavo qualify sababu wewe mwerevu sana
Kimahesabu bado tuna nafasi! Mechi ijayo tuki ifunga Cape verde tutakua na point 5, moja zaidi yao. Kama Kenya iki draw na Ethiopia Hapo Kasarani mtakua mmepata point 2 kwenye mechi 2 wakati Tz itakua imechukua point 3 kwenye mechi 2. Ila mkishinda ndiyo itakua vizuri kwenu.

Mimi linapo kuja swala la michezo huwaga na support E.A ili tuheshimike. CECAFA iweze kuheshimika inabidi iweze kuingiza ata timu 3. Nita watch game yenu niki waombea mema. Ila Tz bado ina chance siyo tu ku qualify ata kuongoza kundi.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
safi...pamoja...good luck basi EA tufanikiwe by the way
 
Cape Verde Ipi? Wabongo Tuna Utani Sana kwenye vitu Serious [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…