Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1) BashiteHivi timu yetu ya Vijana chini ya miaka 17 ya Taifa imeshindwa hata kufunga hata timu moja jamani!!
Tatizo liko wap?
😁😁😁 aisee1) Bashite
Huyu ana gundu!!
2) jina la uwanja.
Huwezi kuyapindua matakwa ya jamii ukabaki salama, aibu itaambatana na wewe mwanzo mwisho.
Uwanja tunauita KWA MCHINA wasilazimishe kuuita mkapa.
Yaani mimi ninavopenda Tanzania yangu Roho imeniuma sana .huku wakina mama wametolewa huko Congo,Simba imepoteza haya hata hawa watoto wetu nao wamepoteza yaani!!Tatizo ni sisi watanzania woote...hatuna maandalizi mazuri kabla ya mashindano.
Lakini hao madogo wange-perform vizuri mechi hata 3 ungesikia wanasiasa wangevyobadiri gia angani na kujifanya kuwasupport kwa nguvu.
Yaani sisi tunawaona watu baada ya kuharibu au kufanya vizuri lakini hatutaki kuhusika kwenye maandalizi
Hivi timu yetu ya Vijana chini ya miaka 17 ya Taifa imeshindwa hata kufunga hata timu moja jamani!!
Tatizo liko wap?